Monday 8 February 2010

Maisha ni safari ndefu; kuna kupanda na kushuka, kupata na kukosa, kufa na kuishi, utajiri na umasikini, kufaulu na kufeli, kucheka na kulia, huzuni na furaha, raha na karaha, utamu na uchungu, kwenda na kurudi, tamaa na mauti, kushindwa na kufaulu,....................................... na mengi mengineyo! Katika yote hayo unahitaji:

1. Fikra sahihi

2. Uwezo

3. Ushauri na miongozo

4. Fursa

5. Raslimali

6. ima/courage/Matumaini

7. Chukua hatua/tekeleza...............N.K>........

No comments:

Post a Comment